iqna

IQNA

Waislamu Ujerumani
IQNA - Wiki tatu baada ya kufungwa kwa Kituo cha Kiislamu cha Hamburg na taasisi zake tanzu na serikali ya Ujerumani, maafisa wa kituo hicho wamewasilisha kesi mahakamani kupinga hatua hiyo.
Habari ID: 3479285    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16

Waislamu Ujerumani
IQNA - Shirika moja lisilo la kiserikali la kimataifa lenye makao yake makuu nchini Iran limelaani vikali marufuku ya Ujerumani dhidi ya Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH) na kuitaja hatua hiyo kama ukiukaji wa wazi wa mikataba ya kimataifa, pamoja na haki za binadamu na uhuru wa dini, kujieleza na kukusanyika.
Habari ID: 3479191    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27

Waislamu Ujerumani
IQNA- Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Ali Bagheri Kani amelaani vikali hatua ya polisi ya Ujerumani ya kupiga marufuku Kituo cha Kiislamu cha Hamburg (IZH) na asasi zake tanzu, na kusema kwamba hatua hiyo inakiuka kanuni za kimsingi za uhuru wa kuabudu.
Habari ID: 3479189    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26

Mazungumzo
TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Kiislamu cha Hamburg nchini Ujerumani kimeandaa mazungumzo ya dini mbalimbali siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3477081    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/02